
At first it was so hard coz biz yangu lazima ufanye Marketing. Niliingia masoko na streets nkiprospect for a whole week. Mungu nae ni nani kuna mteja akanikol anataka Samsung a05 na immediately nkaclose sale. I was so happy 😁 na ikanipa nguvu ya kutafta even more. I learnt that i should never wait for miracles lazima nijitume and finally itajipa 💪.

0
0
0