At my home Kuna this organization ya farmers whereby each farmer analeta mahindi a certain amount inasagwa ju wako na a small kampuni ya kusaga. The farmers are paid kulingana na amount ya mahindi wameleta. Iyo unga then huuziwa community at an affordable price which is ksh 60 per kg.Profits gotten is then saved because they have a bank account .Iyo unga ni tofauti na ile ya duka maana inafura na ni extra soft na nyeupe pia . I think farmers and business owners should come up with such ideas and grow together.
0
0
0