
At times as a beginner kwa game ya any hustle isipoanza kuingiza profits vile ulikuwa unatarajia many young people tend to give up but niko hapa kukushow kuna reasons zenye zinaweza fanya ujipate kwa hio situation ie: 1: Lack of a business plan 2: Location (hii ni factor noma like usipojua place ya kufungua biz unaweza chomeka sana + pia kuna factor ya the security of your business) 3: Lack of identifying your target and audience and marketing strategy( kuwa na info kuhusu biz na inatarget akina nani na utawapata wapi alafu chambua mtandao ujue njia mbili tatu za kumarket biz yako) 4: Pricing ya goods zenye unapush kwa market pia inadictate kama unattract ama unafukuza potential customers
Ukichambua hizo strategies before kuanza biz utakuwa in a good place na profits zitakuwa guaranteed 💯 #Biz #Jengwanamesh #Tujengane #Hustle #Community