
At times unaweza jipata ukona madeni kama milioni
Deni ya fuliza, mama mboga, mshwari, tala, marafiki na familia.
Usikufe moyo, kuna njia mbili unaweza lipa madeni.
-
Paying off small debt first and then unalipa larger ones after kumaliza the small ones (hii inaitwa debt-snowball method)
-
Paying off the largest loans first then moving on to smaller loans ( hii nayo inaitwa avalanche method)
kama umelearn kitu drop 🤑 kwa comments.

0
0
0