
Ata kama ni supporting Kenyan artistes, shuwally 20k tickets for a one day show?Heh Sauti Sol jameni, heri twende huko tuingie show za Wakadinali na Ngesh Wa Vasha wenye watatutitisha punch alafu watupee the same greatness. Ama you guys mnaona Sauti Sol wako level moja na Chris Brown??

0
0
0