Ata maisha ikiwa ngumu aje
Usiwai kaa home
Tafuta fare. Ingia CBD
Tembea kwa mashops.
Ambia mwenye duka utamfanyia marketing
Lakini ukileta mteja ile bei mtakubaliana na mteja
Pesa ya juu anakupea
Kama anauza Kaitu 1500 na wewe utafute mteja and convince him ni 2k. Mteja akinunua anakupee iyo 500
Kitu ya muhimu ni kutembea ukijua bei ya bidhaa na kua-agree na the seller the prices.
In a day huwezi kosa 1500 bob.
Bora uingie kazi ukiwa smart na ujitume follow Nicknet Solutions
#Nicknetsolutions
0
0
0