Ati Gikomba bila connections huwezi angukia or ku-get mali safi na bei fiti?
Wanasema ni either ugongwe when its comes to prices ama uzurure the whole day? 🤔
Share experience yako kwa comments.