Ati Kinyozi ya Muthurwa.. unakalia stool ukishikilia kioo.. Na kioo si ya kujiangalia.. ni ya kuangalia Kanjo wakitokea ndio muhepe!! 🤣🤣. Hii ni ukweli? Credit:-JOKES ARENA.