
Ati unajua mahali bei ni ya down kabisa? But is it really worth it though? 🤔 Vile tu bei inapungua, hata spelling inaruka! 🤣 Unafikiria hizi brands ni deals ama ni stress kwa hizo savings? Comment chini kama uko team original ama una roll na hizo ziko affordable but questionable!

0
0
0