
ATTENTION !!! ATTENTION!!!
Kuna trending issue pia most especially tu watu wa biashara wenye wanaendea stock places conjested kama gikomba,marikiti ,muthurwa na pia eastleigh na hakujui vizuri.
Na juu most pple hawajui ndani wana opt kutuma mtu awafanyie errands ata a fee then atumanishe mizigo na mostly hawa watu wako online. Na hivyo ndo unaoshwa kinakuramba
Before utume mtu make sure
1.unamjua
2.anajua the place vizuri .
3.ako trust worthy na ni mtu umekua ukituma.
4.uko na details zake almost zote incase of an emergency.
5.i advocate uende na yy pia atleast ujue the place na pia uepuke kupewa karakta kwa bizna juu wengine ni conmen.
Ebu tuchapiane the pros and cons of this pple coz pia hizo services zimekua trending na risky pia
0
0
0