Avoid losses kwa hustle yako mtu wangu. Skiza vile Maggy anatupea ujanja ya ku-stock according to demand ya customers. Una struggle na issue gani zaidi kwa biz ama hustle yako hii time ya Corona? #ShujaazBiz #LindaFam
0