
Aye! 😎 Kumbuka, your -"Network is your net worth"-Tuko hapa kuji-sort na networks za nguvu!🤝🏿
Kutafuta #Connections ni #Simple sana;
STEP ONE: Kwa home page yako, click on "My MESH" STEP TWO: Click on "MESHers you need to know." STEP THREE: Tafuta MESHers wako na similar interests na wewe. Connect and start the conversation!
It's that simple! Uko ndani! 🚀
Ume #Connect na wasee wangapi leo hapa MESH?! 🤔
#JisortHapaMESH #Tujijenge #SisiNiMESH

0
0
0