
⚡Aye! Leo ni moto🔥 kuruka 🙌
Ndani ya #MESHkonnect leo tuko na #Ma'Empress wa MESH! Yea, our young ladies are doing it. Tupatane ndani ya #MESHkonnect Live🎙️ kama kawa today Thursday 2PM🕑. Our very best @lucy wanjiru na @[Teresia Wamenju] watatujenga na the most #Trendy #Ideas ,#Concepts na #Techsolutions being applied currently kwa #Hustle ya #Salon / #Hairdressing and #BeautyProducts.
Kama kawa moderator wetu ni mimi @[Captain Ashok]
Jipange na maswali. Ukose utaambia watu nini?🤔🤔 👇👇👇👇👇
0
0
0