
Aye!! Ungependa kujua nini kuhusu #Biz ya Konyozi?!💇♂️ Leo ndani ya #MESHMentors tunabonga na @[Hamza Rajab] 🔥 ako na experience ya uzito kwa hii biz na atatuchapia lessons zake so far na tips kibao za ku-make it kwa biz. Tune in, 2pm⏰ sharp!! @[Captain Ashok] atatupeleka na rada 🙌 #MESHMentors #ThursdayLive
0
0
0