
🔊 Aye! Vipi wadau!👌🏿 Ni Thursday na kama kawaida tuko na bonge la #Live show just for you at 2pm sharp ⏰ featuring @[Serah Jabal] na @Jaonne 🔥🔥. Wanatuchapia journey yao ya #Biz na #Lessons wame-learn so far!! Ungependa kujua nini kuhusu hii journey?! Tuchapiane kwa comments 💯
Host wetu kama kawaida @Captain Ashok 🙌🏿
#SisiNiMESH #ThursdayLive
0
0
0