Bad detbs in a business ni zile huwa unakopa ulipe vitu kama rent,kulipa workers ama kujinunua kitu ukisema utarudisha from your profits. Borrow only when the usage is right and immediate