Bado mnauliza cha kufanya? Ka uko na hustler fund na uliapply Nyota inabidi tu ulipe ndo uendelee kubahatisha . Watapeana 70 youths per subcounty 100k youths total