
Bank Business Loans!
Kwa session ya last Friday ya Jenga Na Deloitte, mentor Emmanuel alitujenga na Creative Ways za Ku-raise Capital.
Hizi ndio different loans offered by most commercial banks in Kenya, sana sana ku-finance working capital needs za biz, na pia ku-acquire assets needed kama una-plan ku-expand business yako.
Cheki examples za loans na Bank zina-offer:

0
0
0