
#BARBER SHOP Vitu nita need Plastic chair 2-1400 shampoo-300 Hand towels -300 cutting Machin 2-3999 Rent-3000 methylated spirit-280 water heatin jag-1200 Bench-200 Barber shaving gown-650×2 Kinyozi open-850 Hizo plastic chair ndio mteja atakalia akinyolewazinauzwa 900-mpaka 2000 lakini nikiendea za mtaani nita pata na 1400 -2 Shampoo zitatumika kuosha mteja kichwa Cutting mashine ndio hio mashine ya kunyoa Methlated spirit ndio inawekwa kwa kichwa after umeosha mteja Heater jag ndio unachemshia maji ya kuosha mteja kichwa Hand towel ndio inatumika kuosha mteja kichwa na kumpanuza maji




0
0
0