
Basically, what Shally anauza ndio the main products. Sidhani kama akiongeza something else itakua na very big impact. What I think, maybe vitu kama chapo, kama mayai, vitu kama biscuits Kwa wale hawaezi afford kitu ya more than 10 bob ata wa reach. Btw , kahawa with biscuits can move faster kama kahawa na samosa, ama mandazi. So the most important thing ni aangalie kitu cost effective na haihitaji hustle mob kumake na kudistribute alafu aifanye Kwa wingi, since ukithink in that way, at least profit margin itaincrease.
0
0
0