
BEAUTY PRODUCTS & NAIL POLISH.
Beauty products utaifanyia pahali popote. Changamoto tunayo ni kutoweka stock poa. Stock poa namanisha enough stock. Katika hii biashara jaribu kutoa suluhisho kwa kila customer. Upande wa urembo kila mtu yuko na taste yake.
Just try to stock varieties. Mfano; š Braids š Hair chemicals š Hair dye. š Earrings š Necklace š Losheni š Creams š Eye pencils š Hair spray š Beads š Perfume š Refill perfume š Shampoo na kadhalika.
Biashara nzuri kule mjini lakini ushago sio saaana. Hata hivyo nikipata mtu wa kunipambia kucha zangu sitahisi mbaya. Vidole ni zangu.

0
0
0