
Before Corona ikam nilikua nauza manguo na Bado nilikua artist. Gigs nilikua napata mob kwa clubs na mafans pia walikua wanapromote biz yangu ya luku saaana, na iyo ilikua like my main source of Income. Unfortunately vile Corona ilikam biz ikadecline vibaya ata nikaanza kushindwa kushughulikia bills zangu. Iyo time ya Corona ilifanya nikakula stock na savings zangu zote.However from last mid last year nimekua nkifanya biz ya kukua dondaa ya mat na online writing atleast niweze kusurvive na pia niweze kufungua biz yangu. Nimemanage kusave 40k na pia nimepigwa boost ya 10k from home so in total nko na 50k. Naeza eka biz gani sai fellow meshers?.
0
0
0