
before investing kwa biashara here are some quick tips on the important skills one need to have wewe kama mwanabiashara
- financial knowledge 2.marketing skills 3.market knowledge and management 4.time management 5.determination 6.problem solving.
hizi husaidia mtu kumake decision thus mtu anaeza decide the best business anaeza anza plus pia the risks zenye anaeza amabatana nazo and what to expect in business na pia venye atasolve problems
0
0
0