
before the end of the year 2022 nilikuwa nadai kuwa na space kubwa ya biz yangu ya fruits zangu penye customers wangu watakaa wakiburudika na juices hapo ndani but unfortunately mwaka umepita before I achieve hio goal,,,due to lack of #capital enough ya kuchapa hio strategy
0
0
0