
💸BEI YA ASUBUI NA JIONI🤭
Hawkers wanajua hii MTINDO asubuhi watu wako na budget tight, jioni wako relaxed na willing kulipa extra. Kuwa na strategy ya bei kulingana na wakati na customer mood. Ushawahi jaribu hii mbinu? unaeza linganisha hii aspect na pia na katikati ya mwezi na pia mwisho wa mwesi when pple are paid na kila mtu ako na extra mahali..

0
0
0