
Bei ya mafuta manze imekua tricky kwangu sana lakini biz lazima iendele !! Mimi kama mtuu wa biashara ya manguo hivii ndo mimi hufanya sikuhizi
-
Deliveries - juu biz yangu mostly hukua ya deliveries mimi niliona I come up with specific days za kufanya deliveries in which by doing this inakua very easy ku deliver goods za the same route at once .
-
Niliona pia kuleta stock ni poa kuleta at once kushinda kuleta kidogo kidogo that's saves on the cost so much juu hata transportation charges zime panda
0
0
0