
Bei ya ngata itapanda in coming months: Super petrol by Sh7.80 Diesel by Sh7.75 Kerosene by Sh7.67 per litre.
EPRA wanadai price ya fuel itapanda mos mos tu in phases.
Kama unafanya works na boda boda, ama uko in transport biz or any other business.
Huwa unajipanga aje time bei imepanda?
Tuchapiane ways za ku-save on fuel kwa comments.
0
0
0