
being in business lazima tukuwe na challenges juu we are doing risk jobs and zengine tunaangalia kama zitawork. kitu yenye ilinnifail this time is the economy and the change of prices this year, alot had risen sana unapata umenunua vitu na bei ya juu sana mpaka saa zengine unachukua stock kidogo, this has been a challenge and also setting unrealistic goals eti ndio utie bidii, kama unaeka mshwari lock target ya 300k naunapata inamature ikiwa 50k waah i guess i will get realistic goals next year
0
0
0