
Believe me nikikushow hizi tips hua zinaokolea especially if you are trying to switch from water colours to acrylic painting. (Both water colours and acrylic are water based, the only difference hukua that acrylic dry faster, vibrant, and denser)
- Tafuta a good quality canvas ama paintbook. Ukipata canvas yako inaabsorb too much paint hua inadry haraka, so itakua difficult kwako kuwork nayo.
- Usitumie brush kumix paint, tumia palette nlknife ama kitu ingine ndio brush yako isikue overworked and ianze kuloose its vibrancy.
- Usiongeze maji mob sana. Ata ikiwezekana tumia tu bila maji. Ju acrylics zi'hukuwa water-soluble and maji itafanya ikue transparent sana.
- Work quickly. Acrylics hukauka faster kuliko oil paints. Kama unataka kabreak unaeza funika paints zako na a damp cloth ndio isikauke.
0
0
0