Benni McCarthy anaelewa hii squad yake bana Team inacheza 10men na bado iko productive hiyo design Technical Bench iko sawa ama namna gani wangwana?