
Best Music Production Tips
Kama ndio unastart hii journey, ni fiti sana ku learn from producers wenye washabobea. Out of my interaction na mentor wangu, hizi ni zile tips nimeeza kujifunza kutoka kwake. Kumbuka unaeza share more kwa comment ndio #tujengane,
šµ Ya kwanza kabisa, ni tafuta your own Sound, hii ndio uta develop nayo with time and kukuwa na signature šµ Ulizia opinion ya ma best kwa nini wao upenda certain beat ama sound, juu ni the average listener wenye wewe unawa undia hizo songs šµ Practice uleta improvements, set masaa kadhaa aside kila siku ku work on ya our music and sound šµ Chukulia criticism vipoa. Ukipea wasee ya own music kuwa prepared kupata constructive criticism šµ Mwisho usikuwe mchoyo fanya collabo na wasanii ama producers wengine juu hii ni njia fiti sana ya ku imrpve skills.
Usisahau kucheck out some of my works pale Spotify under Kivaya ama pia YT https://www.youtube.com/c/J...
#Tujijenge
