
Best physical expression mimi hutumia ni smile, signs na walking while explaining or clarifying a point to a customer. Customers huwa wanataka mtu mwenye anawachangamkia na mwenye anajua kuwaconfuse ili wabuy. Pia mimi hutumia soft sound kuongea na customers. Remember always smile for your customers.
0
0
0