Between kuuza cereals, new clothes and shoes, mtumba, mali mali na cosmetics, ni biz gani imewahi kukulipa vizuri ama unaona inaweza shika saa hii? 🤔