
BEYOND FRUITS:-
Juzi nilikuwa naona news ya hawker anaishi Kabati(near Murang'a) akisema yeye huendea fruits HIghRidge Parklands Market. I have heard a lot about the wide variety of fruits/veg zinazouzwa huko. Lakini mbona mtu atoke Kabati 3 days a week, aendee fruits Highridge? Is it worth the fare? Is that mkt cheaper than Upcountry mkts/Marikiti?
Advise pls?

0
0
0