Biashara ikianza kutoa doh, discipline hupotea haraka. 😅
"Ni thao tu."
Fare.
Lunch.
Shopping kidogo.
Fuliza ikilia, unaitoa hapo.
Hakuna shida... mpaka ujikute mwisho wa mwezi ukijiuliza:
"Kwani hii biashara inaleta profit ama ni pesa tu inapita?" 😅
Ukweli ni hii.
Ukichanganya pesa ya biashara na ya kwako, eventually hujui ni nani anamlisha mwenzake.
Biashara ama wewe.
Na hapo ndio story huanza.
0
0
0