Biashara imekua chini tangu covid ianze napata ni ngumu kujimaitain kimaisha , naeza skip a day Bila food, juu flower vases haziendi . Naomba tu io mradi inifikie niweze kuboost hii hustle yangu , juu hii ndo kila kitu kwa life yangu
0