Biashara inaweza kuwa profitable...
Ikakuwa...
Na bado uchukue loan wrong time. š
Shida huanza wakati loan repayment inafika kabla ile expansion ianze kuleta cash.
Umeongeza staff.
Umenunua stock.
Umeongeza costs.
Lakini revenue mpya bado haijafika.
Before uchukue loan, jiulize:
š What if sales grow slower?
š What if customer pays late?
š What if costs increase?
š What if expansion takes longer?
If cash flow bado inaweza handle hiyo pressure, uko better prepared.
Swali si:
"Bank inaweza kunipea loan ngapi?"
Ni:
"Biashara yangu inaweza safely carry debt ya kiasi gani?" š°
0
0
0