Biashara ni kujipanga mapema incase of emergency kama hii ya Edu. Ume insure hustle ama biz yako against risks kama kuibiwa, wewe kuwa mgonjwa etc? #ShujaazBiz #LindaFam