Biashara si rahisi ๐ Unaamka, unapost, unaenda shopโฆ unakaa siku mzima hakuna client. Mnapatana na maboys mkiangaliana tu, hakuna movement. Inachosha hadi unafikiria kuquit. Lakini hii stage ndio kila biashara hupitia. Usikate tamaaโendelea kusukuma, adjust strategy, siku yako itafika. Good times zinakuja pole pole ๐ฅ
0
0
0