Biashara yenye haiko kwa hiyo footbridge ya Witeithie ni butchery na agrovet pekee! 😂😂
Wakenya wamefika mahali ukiona space iko vacant, mtu mwingine tayari anaona business opportunity. Hakuna place imeachwa bila biashara. Kwa footbridge kuna shop, kwa stage kuna mama mboga, kwa corridor kuna kinyozi, kwa stairs kuna smokie pasua na kwa corner kuna M-Pesa. 😂
Hata ukipata space ya 2 by 2, kuna mtu anapanga kuweka biashara hapo.
Kenyans are really hustling! Kila mtu anajaribu kutengeneza pesa mahali anaweza.
Lakini Meshers, hivi ni kwamba Kenya hakuna unemployment ama tumefika mahali kila vacant space lazima iwe business premises? 🤣
#Meshers #Kujengana #HustleNaBiz
0
0
0