Bicycle boda boda nowadays ziko kidogo sana.. wewe ulipanda lini mwisho boda ya bike? How was it compared to boda ya pikipiki? Let's promote the bicycles bodas pia coz it's their daily hustle too.