
big thanks kwa Mesh na team yote manze ,mesh imeni boost kwa njia mob sana ,life challenges zimekua mob sana but mesh wameniokolea mbaya sana. wamenijenga sana kwa ma ideas mob za biz na connection mob pia ,nimeweza ku connect na ma youths wengi sana .so big thanks manze 👊sahizi wameni jenga opportunity ya biz na inapick poa


0
0
0