
🙌Big up MESHERS wote wali-join Jenga Na Deloitte session ya leo!
Kama uli-miss, usi-worry pia.Presentation ya Cinday na June inakam through.
🗣️Share feedback yako na sisi, tuweze ku-make session ya Friday, 21/7/2023, Online, even better.
👇Please jaza details na comments zako hapa: https://forms.office.com/r/...
0
0
0