
Big up sana kwa winners wa #MESHChallenge ya last week @[Irene kubi] @[James Rukenya] na @Eunice Daniel watakua featured in more detail leo jioni ndani ya MESH Ask Me Anything. Big up to them 🏆🏆
In the meantime, cheki challenge ya this week pale kwa group ya MESH Challenge, unaeza kuwa winner this week! Form ni #Kujijenga 💪💪
0
0
0