
Biggest lesson in business is consistency .make sure customers wako wanakuona kila siku hapo bila kufunga. Juu wakijua biashara yako unafunga kila time hawatakuja believe me or not. So be consistent with opening time and closing time also weekends let them know your time #MeshChallenge
0
0
0