Biz Gani Uneza Fungua Na Less Than 5K?
Watu wengi hufikiria lazima ukue na 50k ndo uanze biashara, lakini ground ni different. Hata na 2k, 3k, 4k uneza test idea, ujifunze market na uanze kujenga jina. Kama MESHer, focus ni kuanza small, kulearn fast, halafu kuscale pole pole.
Biz ideas unaweza anzia chini ya 5K:
- Smokies na mayai kwa crate ama basin karibu na stage au estate gate.
- Mitumba pieces chache, piga picha smart, uza kwa WhatsApp status na MESH.
- Chapati or mandazi supply kwa vibanda, workshops ama offices as morning snack.
- Fruit cuts and salad in cups near matatu stage or outside markets.
- Reselling simple items kama socks, belts or earrings from wholesale to friends and colleagues.
Wewe ungependa biz ya chakula, mavazi ama reselling vitu ndogo ndogo
Na ukianza na 5k ama chini, ungeipata wapi hiyo capital saving, small loan, ama kuuza kitu ulidharau kwa nyumba Hebu tuandikie hapa chini, tutafute idea moja uanze nayo practical.
0
0
0