
BIZ GOALS.
Wewe ukuwa na like targets ama inspiration zenye unataka ku'achieve? Kwa unit flani ya daro; Pathway, tulibonga kuhusu lifes goals and kuwa, kuna classification 3 za goals, Top, Mid and lower goals. Top ukuwa like ile long plan, while mid level ni zile discrete yet goals big ambazo zinakusaidia kuachive Top level, nayo lower ukuwa daily achievements. Pia actualisation ya Top ukuwa intertwined na achievement ya mid na lower goals.
Kwa biz pia kuna hio aspect ya kuset goals. This reminds me, the videos zenye ziko kwa hio tab ya ShujaazBiz under goals. Wasee wengi wameongelea sana Top goals, like Biz kukuwa na branches kadhaa, kukuwa na trusted import supplier, kukuwa na pia markets outside the country but wanasahau zile lower na mid level goals. Example ya Mid level niku gain knowledge kwa biz, kuokolea community projects, kuweka investment kwa family among others. Nazo lower level nikaa kurauka biz, kugain trust ya clients, kuweka savings, kutake stock, kulearn stuff competitors wame advance in, among others.
Low na mid level goals uchange often but top ni zile permanent so ukiset goals check pia hizo mbili za chini juu goals nikama car parts and zinamove pamoja. Great sale day MESH'ERS. Usisahau kujoin BIZ 101 and glad familia inaendelea ku grow.
#Tujijenge #ShujaazBiz #Goals