
Biz Idea ya soo; 100/=
Nunua credo, ubuy minutes, utafute customer wa pishori alafu tuseme upate customer kumi each 15kg.... Kwa kila kilo nitakulipa 22bob 22×15=330 then 330×10=3300 kwa siku moja, tuseme ulikuwa umetumia credo ya chwani... Hizo minutes zimebaki unaweza pigia bae umwambie akitoka kazi akuje na kanyama utamrudishia😅. Kesho fanya hivo hivo. And since nakuuzia kitu safi, hawa customer watakuwa wanakuitisha so kwa siku jipe atleast 3 customers, unamake thao daily just kuongea
0
0
0