Biz Ideas za Mtaji Ndogo (KSh 200–2K)
-
Smokie & Mayai Biz – mtaji wa 1K–2K, unauza 30–50 bob each Jioni moja unaweza clear stock
-
Maji Baridi / Ice-cream , maji bottle 20–30 bob, unauza 50 kukiwa na jua tokea chagamka
-
Mitumba (Hangers biz) – nunua ka-bale ya tops/shirts 500–1K, uza kwa soko au kwa lines
-
Groundnuts / Njugu Karanga – ukichemsha au ukaange, unauza packaged.
-
Chai & Mandazi Base – ata na 500bob,asubuhi unafanya profit haraka.
0
0
0