
Biz inataka uvumilivu wa haitaki haraka Kwanza biz yako usi involve marafiki wengi wata kuangusha ,punguza kukopesha products ju italeta uadui na customer akishakopesha ata hepa dont involve to much of relatives .anza biashara na do kidogo like me nilianza na mandazi mfuko mbili adi nika fika half abale biz inahitaji usafi kwanza yako wewe binafsi kitu ingine market maters alot then security pesa ya biashara usichanganye na ya mahitaji ya nyumba . Weka pesa kwa chama unayo trust zile profit unayo pokea ju watu wange humess kwa mpesa sio kubuy credo sio kutumia wazazi sio kutumia marafiki kwa chama hautaenda eti unataka kwa marrygoround Biz inahitaji respect zaidi
0
0
0